mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Ndo kama hii mkuuKwanini usichukue Sandisk cruzer blade? Ipo proven tayari?
Wadau habari nahitaji kununua flash,kuna flash nimeiona madukani ina material ya chuma inaitwa TJ ambao mmewai kuzitumia zipoje kwenye ubora
Bei nimeambiwa elfu 25 ukubwa gb 32
Ukipata sandisk Original ziko poa sana. Sema tu ukitumia kwa muda zinapasuka hapo mdomoni kwa sababu ni sa plastic.Ndo kama hii mkuuView attachment 1570023
Ndio mkuuNdo kama hii mkuuView attachment 1570023
AsanteHizo sijawahi kuziona. Kupata flash disk nzuri siku hizi inategemea sana na uaminifu wa muuzaji. Unaweza ukakuta pengine hiyo TJ ni original au inawezekana zipo original na feki zake. Kwa hiyo siwezi kusema kama hiyo TJ ni nzuri au mbaya. Jaribu kutafuta flash kwenye maduka yenye historia nzuri.
Mimi nilinunua Imation ikafa ndani ya mwezi, nikanunua flash ya samsung ya chuma ikafa, nikanunua sandisk (Kumbe feki , ndani ina chip feki) ikafa, nikanunua tena imation nayo naona kila siku inazidi kuwa slow. Lakini kuna flash nilizinunua za MICRODATA zenye OTG pia sasa zimeshamaliza mwaka ziko vile vile na ndio nazotegemea.
Ngoja niitafute keshoNdio mkuu
Flashdisk na Sd card za kikuu achana nazo kabisa.Si uchukue hapo kikuu mzee
TJ ni jina la Mbongo ambaye hua anaorder direct kutoka kiwandani China.Wadau habari nahitaji kununua flash, kuna flash nimeiona madukani ina material ya chuma inaitwa TJ ambao mmewai kuzitumia zipoje kwenye ubora.
Bei nimeambiwa elfu 25 ukubwa GB 32