Usanii wa waingereza

Usanii wa waingereza

Ngamanya Kitangalala

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
501
Reaction score
1,214
Maamuzi yameshafikiwa na wananchi walio wengi, kujitoa katika jumuiya ya ulaya
Kwa kura ya maoni,,
leo hii ku trigger article 50, mahakama kuu imeamua ni mpaka kuidhinishwa na bunge kwanza
Swali la msingi
Je wananchi na wabunge ambao kimsingi ni wawakilishi wa wananchi
Ni nani mwenye maamuzi ya mwisho?
Leo hii hao hao kiongozi wao mkuu wa serikali(waziri mkuu)
Hakuwahi kupigiwa kura na wananchi
Hao hao kila mara wamekuwa wakizilazimisha nchi zetu hizi za dunia ya tatu
Kuheshimu demokrasia
Imefika wakati waafrika kwa umoja wetu
Tukatae kuingiliwa na hawa wakubwa
Kwani hakuna kitu kinaitwa demokrasia hapa duniani
 
Mkuu unadhani wabunge wa uingereza ni Kama wa kwetu? Wapo pamoja na wananchi waliowachaguwa.
 
Unataka kutuambia ******** anaingiliwa!?
Anaingiliwa na nani?
Sitaki kuamini upuuzi huu.
Maamuzi yameshafikiwa na wananchi walio wengi, kujitoa katika jumuiya ya ulaya
Kwa kura ya maoni,,
leo hii ku trigger article 50, mahakama kuu imeamua ni mpaka kuidhinishwa na bunge kwanza
Swali la msingi
Je wananchi na wabunge ambao kimsingi ni wawakilishi wa wananchi
Ni nani mwenye maamuzi ya mwisho?
Leo hii hao hao kiongozi wao mkuu wa serikali(waziri mkuu)
Hakuwahi kupigiwa kura na wananchi
Hao hao kila mara wamekuwa wakizilazimisha nchi zetu hizi za dunia ya tatu
Kuheshimu demokrasia
Imefika wakati waafrika kwa umoja wetu
Tukatae kuingiliwa na hawa wakubwa
Kwani hakuna kitu kinaitwa demokrasia hapa duniani
 
Wazungu wakiwa madictator siyo mbaya, wana uzalendo kwa nchi yao na akili ya kuleta maendeleo.

Africa madictator ni wazinzi, wauaji, mafisadi, wabinafsi, wapumba.vu, jitu linaiba pesa na kwenda kuzificha Ulaya?

Bora ule udictator wa Hitler kuliko demokrasia ya Africa.
 
wameona athari zake mahakama inawarudisha maana wabunge wengi hawakufurahi hiyo ishu ya kujitoa ngoja tusubiri muda ndio utakao ongea..
 
Wazungu wakiwa madictator siyo mbaya, wana uzalendo kwa nchi yao na akili ya kuleta maendeleo.

Africa madictator ni wazinzi, wauaji, mafisadi, wabinafsi, wapumba.vu, jitu linaiba pesa na kwenda kuzificha Ulaya?

Bora ule udictator wa Hitler kuliko demokrasia ya Africa.
Mkuu umetumia lugha ngumu.
 
Back
Top Bottom