Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,552
- 30,782
Huu kweli ni usanii uchwara.View attachment 3641746
Huu ni usanii ambao hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuukubali.
Mchina(Heinan) kapewa tenda ujenzi wa barabara huko mkoani.
Kapewa na Advance Payment ya 10% ili aanza kazi.
Tunachojua wachimvi ni kwamba hiyo 10% wamegawana na watoa kazi, iwe ni waziri au hata TANROADS.
Haiwezekani kampuni kupewa kazi na hela inayo na kazi isianze.
Tulio kwenye fani ni kwamba hela imeliwa na watoabkazi na mkandarasi hana hela ya kazi.
Kama Waziri yuko serious awatangulize TAKUKURU wafanye kazi yao na hapo upupu wote utabumbuluka.
Huo ulioongea ndio hali halisi ya viongozi wetu. Siku hizi kila waziri akiteuliwa anabuni software ya kupiga hela wizarani,. Hizo ndio akili walizo nazo na ukizingatia boss wao anawaita "wanangu" na akiwatengua au kuwabadilisha hivyo vyeo anaona kafanya bonge ya uwajibishaji.View attachment 3641746
Huu ni usanii ambao hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuukubali.
Mchina(Heinan) kapewa tenda ujenzi wa barabara huko mkoani.
Kapewa na Advance Payment ya 10% ili aanza kazi.
Tunachojua wachimvi ni kwamba hiyo 10% wamegawana na watoa kazi, iwe ni waziri au hata TANROADS.
Haiwezekani kampuni kupewa kazi na hela inayo na kazi isianze.
Tulio kwenye fani ni kwamba hela imeliwa na watoabkazi na mkandarasi hana hela ya kazi.
Kama Waziri yuko serious awatangulize TAKUKURU wafanye kazi yao na hapo upupu wote utabumbuluka.
Wadau wote wanafahamu hilo."Mawaziri" karibia wote wa hii "serikali" ni wapiga dili. TAKUKURU sio kwamba hawajui lkn unaanzaje kumgusa "mteule" wa "rais"!
Hili linashangaza."Mawaziri" karibia wote wa hii "serikali" ni wapiga dili. TAKUKURU sio kwamba hawajui lkn unaanzaje kumgusa "mteule" wa "rais"!
Nchimbi keshawaambia: acheni ku-deal na list ya mambo madogo madogo, pigeni kwenye mzizi, katiba. Tukiwa na katiba ya wananchi, usanii kama huu utakuwa vigumu kufanya, na hata ukifanyika hatua zitachukuliwa.View attachment 3641746
Huu ni usanii ambao hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuukubali.
Mchina(Heinan) kapewa tenda ujenzi wa barabara huko mkoani.
Kapewa na Advance Payment ya 10% ili aanza kazi.
Tunachojua wachimvi ni kwamba hiyo 10% wamegawana na watoa kazi, iwe ni waziri au hata TANROADS.
Haiwezekani kampuni kupewa kazi na hela inayo na kazi isianze.
Tulio kwenye fani ni kwamba hela imeliwa na watoabkazi na mkandarasi hana hela ya kazi.
Kama Waziri yuko serious awatangulize TAKUKURU wafanye kazi yao na hapo upupu wote utabumbuluka.
Nchimbi keshawaambia dawa lakini ninyi mnajitoa ufahamu. ndeeleni kubirini basi embe chini ya mti wa mchongoma. Linashangaza nini wakati tunajua ndiyo utendeji wa kimama and co!Hili linashangaza.
TAKUKURU siku hizi ni kama mbwa asiye na meno, wamebaki kubweka tu.
Mke wake alitoa zawadi ya million 16 kwa mama Daimond unadhani zilitoka wapi?Mtu wa Pwani toka lini akasimamia kazi ikaenda na kukamilika hayupo Ulega hamna kitu kwa kifupi taifa limegota hatusogei
Ndiyo 10% zinazokamuliwa wachina.Mke wake alitoa zawadi ya million 16 kwa mama Daimond unadhani zilitoka wapi?
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/watch/?v=1020348853920233
TAKUKURU which?View attachment 3641746
Huu ni usanii ambao hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuukubali.
Mchina(Heinan) kapewa tenda ujenzi wa barabara huko mkoani.
Kapewa na Advance Payment ya 10% ili aanza kazi.
Tunachojua wachimvi ni kwamba hiyo 10% wamegawana na watoa kazi, iwe ni waziri au hata TANROADS.
Haiwezekani kampuni kupewa kazi na hela inayo na kazi isianze.
Tulio kwenye fani ni kwamba hela imeliwa na watoabkazi na mkandarasi hana hela ya kazi.
Kama Waziri yuko serious awatangulize TAKUKURU wafanye kazi yao na hapo upupu wote utabumbuluka.
Takukuru ipi?Kama Waziri yuko serious awatangulize TAKUKURU wafanye kazi yao na hapo upupu wote utabumbuluka.
Hapa naona hujaeleweka mkuuNa hao wakiamua kukaza kisa hatushindi hata nusu
Hasa Awamu ya Sita!Sekta ya ujenzi inanuka rushwa tupu
Ndizo zimeenda kumtunuku mama dangote kwenye sherehe za kuzaliwa kwake, hawa jamaa ni wezi tu eti mke wake anampa mama dangote 16M kwa biashara gani kama hiyo anatoa mke wake je jamaa na ukwasi wa kiasi gani ?hapa majuzi alikuwa lofa tu.View attachment 3641746