Ni kweli kabisa mkuu.
Ningeshauri pia wale wasioona au kuamini yale babu ametumwa kufanya, ni kheri wakae kimya! Siku za dunia zinahesabika, pamoja na kuwa safari bado ndefu; hujafa hujaumbika! Kesho ukijikuta hoi,hosp unazotegemea zimekushindwa..utamkimbilia babu kwa maneno yako hayo utegemee upone??
Mdomo na viherehere sio vya msingi maishani.