''USANII'' na WAPENZI WETU/WAKO...tukumbushane!

hahhahahahahahahaaaaaaaaaa...!

nakupenda kama mchuzi wa jogoo...!

kudaaadeek:wink2::wink2:

usifanye masiala , enzi hizo kukuu anachinjwa ukija mgeni wa maana,
mtoto akafunguka ananipenda kama kitu cha mchuzi wa jogoo,
i will never forget ha ha ha ha ha
 
halafu kuna hizi simu siku izi unapigiwa simu swali la kwanza ''UKWAAP?...''

achachachachachaa...mamaaa yaangu...huwa nakatikaje stimu arif!.....''UKWAAP?''....

benchoooooiiiid

hahaa nimecheka mpaka nimejigonga ukutan,,, sijui jana nlikuwa wap ndo naona huu uzi asbh hii. ngoja nkaoge i'll b back
 
baada ya kupitia huu uzi...nimegundua wengi humu mna maneno ya ulaghai panapo mapenzi loh!!!!!!!!!!!
 
he good ol days, unasubiri mtoto hatokei, unatega dirishani hadi jua linazama.... kesho yake kamba mwanzo mwisho... !!!
 
wakina mama bana.!

pamoujeer na usanii wote lakin bado tu wanaume haooooo...kama mbmwa kwa chatu...!

kwel nimeamin there is nothing like ''THE POWER OF A WOMAN''
 
Komaa kabisa kaka,

ukija kwangu siku nyingine uje umevaa la kupanda (kiatu), jaketi na suruali nguo zilikuwa na (zipu nyingiiiii) kama la Michael Jackson, mi sio wa kuchezea chezea!

Nilijibiwa hivo wakati namtokea mtoto mmoja Mkali wa kitaani!

View attachment 49382
let me refresh my memory maana siku hiyo nakumbuka tulikuwa mbweni beach jkt,katika picha hii kuanzia kushoto kwenda kulia ni wafuatao:
kongosho(braless) kashikwa mkono na rejao (tukimwita 'tall' enzi hizo),kivulana cha kati chenye bugaloo ni bishanga kushoto kamshika bega Lizzy kulia Husninyo,mwisho kulia mwenye bukta babu DC kamkumbatia Faiza Foxy,enzi hizo bana raha kweli,ukiumwa sana 'mafua' unakula rangi mbili biashara imekwisha,siku hizi mambo kwa ARV,lol!
 
hahahahahahahahahaha
copy and paste hii bana
juzi tu ilikua hapa hii thread sasa inaboa
 
Wajukuu hawaruhusiwi kuangalia bukta ya Babu, maana it will blow you away.

let me refresh my memory maana siku hiyo nakumbuka tulikuwa mbweni beach jkt,katika picha hii kuanzia kushoto kwenda kulia ni wafuatao:
kongosho(braless) kashikwa mkono na rejao (tukimwita 'tall' enzi hizo),kivulana cha kati chenye bugaloo ni bishanga kushoto kamshika bega Lizzy kulia Husninyo,mwisho kulia mwenye bukta babu DC kamkumbatia Faiza Foxy,enzi hizo bana raha kweli,ukiumwa sana 'mafua' unakula rangi mbili biashara imekwisha,siku hizi mambo kwa ARV,lol!
 
Kusema ukweli nilizimiss sana hizi................. natamani kurudisha siku nyuma

Any voluntia??
pekua pekua yangu nimekuta barua hii (bado inanukia poda ya 'ambi'):
MJ1,
Weruweru gels,
Moshi,
01-08-1975

Darling Bishanga,
habari za masomo,
ujue mwenzio ndo nimerudi shule jana.kila tukirudi shule ujue huwa tunapimwa mimba.sasa itakuwaje? mi nilikwambia hukusikia,ona sasa,siku zenyewe hata sizioni,nakwambia bishanga nikifukuzwa shule nakuja kwenu,kwa baba mi sirudi ataniua.
nijibu haraka.
MJ1
 
Hii thread mpaka sasa nishazoma uzoefu wa Asprin na Klorokwin.........yaani nyie mnaonekana ndio mlikuwa wahanga wa haya mabomu haswa!

Baada ya kusema hayo.......................namalizia na....

Mpenzi kwako nimefika Kigoma mwisho wa reli, nauli ya kurudia sina wala pa kukopa sipaoni!!
Hehehehehe..... umenikumbusha wakati nakasarandia kademu kamoja ka Ashira geloz....

Kalinambia "Wa ubani ni vile tu hujui navokupenda, yaani kohozi lako kwangu mie ni blue band yangu" mwisho wa kunukuu.... khaa!
 
Ujue mie nilikuwa napata staftahi ya ngu ya mkate na bluu band, imebidi niache kwa muda.

Hehehehehe..... umenikumbusha wakati nakasarandia kademu kamoja ka Ashira geloz....

Kalinambia "Wa ubani ni vile tu hujui navokupenda, yaani kohozi lako kwangu mie ni blue band yangu" mwisho wa kunukuu.... khaa!
 
let me refresh my memory maana siku hiyo nakumbuka tulikuwa mbweni beach jkt,katika picha hii kuanzia kushoto kwenda kulia ni wafuatao:
kongosho(braless) kashikwa mkono na rejao (tukimwita 'tall' enzi hizo),kivulana cha kati chenye bugaloo ni bishanga kushoto kamshika bega Lizzy kulia Husninyo,mwisho kulia mwenye bukta babu DC kamkumbatia Faiza Foxy,enzi hizo bana raha kweli,ukiumwa sana 'mafua' unakula rangi mbili biashara imekwisha,siku hizi mambo kwa ARV,lol!
Kama Umekua na Lizzy na Husninyo, Bishanga naomba shkamoo yangu..... wallah tena!
 
Ujue mie nilikuwa napata staftahi ya ngu ya mkate na bluu band, imebidi niache kwa muda.
Hehehehe.......

Umenikumbusha enzi hizooo za treni. Tukiwa wanafunzi tumepewa behewa letu zima. Kuna bibi alikuwa amekaa behewa jingine na chupa ya bia pembeni. Mshikaji akainyemelea ili amwibie bia. Akainyemelea na kuikamata akamimina mdomoni fasta. Kumbe bibi wa watu alikuwa sijui na TB, akikohoa anatemea makohozi kwa chupa..... Jamaa alitapikaje?

Mwisho wa hadisi.
Hadisi hii inatufundisha tisifanye masihara na makohozi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom