Usangu Logistics ni kampuni ya nani?

Usangu Logistics ni kampuni ya nani?

Habari wana Jf
Napenda kuuliza mwenye kuimanya vizuri hii kampuni ya Usangu Logistics maana nilipata mashaka makubwa sana mbunge mmoja aliposimama kusema kuwa kampuni hii ilipewa tenda ya kusambaza transforma 10 hapa hapa Dar es Salaam kwa gharama ya Mill. 240 huku kampuni nyingine iliyokuwa imeshindanishwa nayo ikiachwa wakati walikuwa na gharama ndogo zaidi ya sh. Mill. 10 tu.
Mambo haya yaliibuliwa wakati wa uwasilishaji wa bajeti ya wizara ya nishati na madini, ajabu ile hoja ilizimika tu kiulaini.
Nashawishika kuimanya hii kampuni ni ya akina nani then kutoka hapo tunaconnect the dots.
Nawasilisha.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Kampuni ya Ridhiwani . Lol
 
Nimestushwa na hili sijaona Riz one akuhusishwa nayo au Riz moko huwa haendi Mbeya pengine hajui kama pesa kule zipo nje nje au anamuogopa Sugu...
 
TZ nchi tajir yenye wananch maskini..... hivi na ule utata wa TRA dhid ya EWURA had kumpelekea jamaa kujinyoga uliishia wap ?
 
platinum credits Nina uhakika ni ya Salva na Wasira
ndivyo documents zinavyoonesha, but hizo nyingine..........?????
 
Ndugu yangu deonova hebu jaribu kuja hapa kama GT. Sema sasa hizo transformer(s) ni za kwenye redio au hizi za tanesco na ni model gani. Karibu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
mtoa mada nchi na viongozi wake wana malariaaa kali dengue cha mtoto
 
usangu,plantinum credit,smart oil,jembe ni jembe,kilimanjaro pub,cosmopolitan hotel na musa transporter yote mali ya salva rweyamamu wa ikulu

Wakati fulani ni bora kukaa kimya kuliko kuandika kama unavyofanya..na usipende kukurupukia mambo usiyoyajua...kaa tulia utajifunza mengi sana!
 
Ndugu yangu deonova hebu jaribu kuja hapa kama GT. Sema sasa hizo transformer(s) ni za kwenye redio au hizi za tanesco na ni model gani. Karibu mkuu.
Chizi Fureshi kutokana na kwamba ile siku ilikuwa inawasilishwa bajeti ya wizara ya nishati na madini basi tunafikia conclusion kuwa zile ni transforma hizi za tanesco zilikuwa zinazungumziwa na sio hizi za redio. Tumuombe Tyta kwa hisani ya #TeamWekaPicha atuwekee picha ya hizo ndude.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
5tonnes ni sawa na Container moja empty la 40ft! Ambalo ukilisafirisha hapahapa Dar kutoka sehemu moja hadi nyingine ni around tshs 300,000/- kama town trip! Conatiner hilo hilo tupu ukilisafirsha kwenda mkoani kutokea dar, imezidi sana ni Tshs1.5m! Sasa kusafirisha transformer moja ya uzito wa tani tano iweje Mil.24 kwa hesabu tu za kawaida? Halafu bado kuna mtu anatetea wizi huu bila haya!
 
mwarabu mmoja anamiliki hiyo kampun cha ajabu anajiita mwakabwanga full kanjanja hii Tz mpaka mungu atuchukue tutakuwa tumeona mengi
 
Jana nimeona gari ndogo waliyochangia kwenye taasisi ya dini....gari hiyo ilianeikwa
" SOMA QURAN"
"DONATED BY USANGU LOGISTICS"
 
huyo mwenye kusafirisha transforma 10 kwa 10M labda alidhan ni kusambaza maembe
kumbuk transforma moja ni 5Tonnes

10m less than 240m hivyo nadhani ilikuwa ni 230m nadhani hujaielewa thread au hesabu
 
Jana nimeona gari ndogo waliyochangia kwenye taasisi ya dini....gari hiyo ilianeikwa
" SOMA QURAN"
"DONATED BY USANGU LOGISTICS"

Sure hata mimi juzi nimeona kamoja hivi kalikuwa kamepaki maeneo ya pale junction ya Machinga Complex.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wa TZ acheni majungu na roho ya wivu, kamwe hamuwezi kupiga hatua za maendeleo kama tabia hiyo hamto wachana nayo!

Hivi wewe kweli una uzalendo wewe?Huyu kaulizia nini kimepelekea mtu aliye tenda bei nafuu ananyimwa na anapewa aliyetenda bei ya juu,kumbuka kuwa zilizolipwa ni pesa za walipa kodi.
 
Back
Top Bottom