Usaliti

Usaliti

Inagemeana na upendo ulioko kati yenu.. na pia tabia aliyonayo mpenz wako. mengine unayajua ww.. na maamuzi ni yako
 
Hapo inategemea na status ya relationship yenu
* kama ni mume ntamsamehe na kutengeneza makubaliano ambayo yatapunguza mianya ya usaliti
* ila kama ni mpenz tu I say No maana uchafu unaoanza mapema ni mbaya kuliko unaokutana nao Mbele ya safari
 
Jaman nn hatua njema ya busara ya kuchukua pale mpenz wako anapokusalit??
Pole sana mkuu.
Je, ww bado unampenda? Km ndiyo inapendeza
Je, yy anakupenda? Km ndiyo au hapana.

Km ndiyo unaweza kumsamehe na kurekebisha wapi ulipokosea.

Km unaona moyo wako ni mzito kumsamehe na unataka kumuacha. Nitakupa adhabu ya kumfanyia hata kusahau maisha yake yote.

HII ADHABU HATAWEZA KUKUSAHAU MILELE
Muite mueleze A-Z juu ya usaliti wake, onyesha ww ndiyo km umesababisha yy kuchepuka. control hasira. Mueleze kuwa umemsamehe.
Sasa hakikisha asubuhi, mchana na usiku umemjulia hali, umemtumia vizawadi na unamtoa out.
Onyesha unampenda sana, ikibidi mtambulishe kwa ndugu zako na marafiki zako. Kila upatapo muda mtoe out na umnunulie zawadi. Ikibidi nunua na pete ya uchumba kbsa.
Km umepanga mpe na ufunguo kbsa, awe anaenda getho anavyotaka, siku za ibada mwende wote kanisani au msikitini.
Baada kuona keshalowa kwenye mapenzi kbsa. na keshajiridhisha kuwa mnaenda kuoana.
Piga chini, mblock kbsa, badilisha vitasa au mnyang'anye ufunguo. Vuta manzi ambaye unaona anafaa oa.
Hii adhabu hatakusahau ktk maisha yake na utamuachia maumivu sana

JAPO ITAKUCOST LKN NDIYO ADHABU MBADALA AMBAYO ITAMUACHIA MAUMIVU ILA KM UNATAKA SHORTCUT UNAWEZA KUMUACHA KIKAWAIDA.
Ila kwa adhabu ya hapo juu na kwa jins wanaume wengi walivyovurugwa atakukimbuka milele
 
Msamehe kisha mwambie kitendo alichokifanya siyo kizuri ajirekebishe
 
Piga chini mkuu. Wanawake wote hawa kwanini uumize kichwa na msaliti mmoja. Never ever love or trust a woman 100%. Mpe asilimia 40 tu nyingine hifadhi. Siku atakayokusaliti haitakuumiza sana, na utapiga chini kirahisi. Ukisamehe samehe kwa Mungu wako ila kicheche achana naye. Ukirudiana naye ujue lazima atakusaliti tena na tena.
 
Hizo habari za kusikia sio nzuri, wanafiki wengi hawapendi penzi lenu kuliona linashamiri, usisikilize maneno ya watu mpaka uthibitishe kwa macho yako live bila chenga
sio kwa dunia hii ilojaa magonjwa
 
Kama mpenzi anafikia kusaliti basi ujie hapo hakuna mapenzi ya kweli baina yake na wewe , hivyo njia sahihi ya busara ni kumuacha aende zake, vinginevyo ukisamehe ujue ataendelea na tabia hiyo kwakua anajua unampenda na upo tayari kuwa naye hivyo hivyo na usaliti wake,

Dhamani yako ni kubwa na wapo wengi tu wenye kutambua dhamani yako , hivyo usiishi kinyonge nyonge chukua mwingine uishi maisha mazuri yenye furaha na upendo wa kweli
 
Hakikisha mpaka umeshuhudia usaliti live, sio umeona msg au watu wote wanasema mtaani.
Wewe subiri ushuhudie utakuta kitu kimeshaoza kwakufumuliwa fumuliwa na ukimwi UTI na gono nk utakuwa umesha ambukizwa sana ,

mi nikisikia tetesi au nikiona msg ya utata basi hapo hapo nalianzisha, hakuna kusubiri nione live,
 
Mashahidi japo wanne wanahitajika nao pia wawe wameshuhudia usaliti/fumanizi. Sio kaingia ghetto tu basi, unatakiwa uone kabisa ushuhudie wanafanya kabisa (yan inaingia na kutoka wapo utupu bila nguo)
[emoji33] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji85] [emoji85] eti ashuhudie kabiza inaingia na kutoka bila nguo
 
Kwani alivyogawa waliondoka nayo si anayo! na wewe utaitumia kwa wakati wako😀
 
Umeshaambiwa kuchapiwa ni siri ya ndani, sasa ushauri wa nini?
 
[emoji33] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji85] [emoji85] eti ashuhudie kabiza inaingia na kutoka bila nguo
Unajua kwa nn, sio umeona watu wametoka ndani ya nyumba tu unakuja na maamuzi kwamba wamefanya mapenzi. Unatakiwa ushuhudie kwa macho yako mawili, na kama ni taarifa basi wawe watu wasiopungua wanne wawe wamethibitisha. Sio tu mtu na fitina zake aseme ndo shahidi peke yake
 
Unajua kwa nn, sio umeona watu wametoka ndani ya nyumba tu unakuja na maamuzi kwamba wamefanya mapenzi. Unatakiwa ushuhudie kwa macho yako mawili, na kama ni taarifa basi wawe watu wasiopungua wanne wawe wamethibitisha. Sio tu mtu na fitina zake aseme ndo shahidi peke yake
hayaa baba ila sio wote wna ujasiri wa kushuhudia kitumbua chake kinavotafunwa
 
Back
Top Bottom