Inauma sana unaposalitiwa na mpenz mkiwa eneo moja na jion mlikuwa wote.Ndo yalonitokea kwa mrembo neema mwambao lake Tanganyika.Uamz wang tofaut sana na wanaume weng me nikprove kwa data sirudii mtu.ww vp mdau
Umeshamuacha kelele za nini?
Inauma sana unaposalitiwa na mpenz mkiwa eneo moja na jion mlikuwa wote.Ndo yalonitokea kwa mrembo neema mwambao lake Tanganyika.Uamz wang tofaut sana na wanaume weng me nikprove kwa data sirudii mtu.ww vp mdau
Jee umejua sababu ya kusalitiwa? Wewe ulipo kua nae hujawahi kumsaliti? Ukisusa wenzio wanakula...
alikuona huwezi kazi mzee, inakuwaje kama ulimtandika vya kutosha hamu ikamwisha afanye alichofanya? alishakudharau we omba Mungu akupe mke anayefanana na wewe. na uache zinaa, utakufa na ngoma.wanawake ndivyo walivyo anaweza kugawa hata kwa watano akiamua kama ameamua kukutumia na kama ni ngoma inawapata wote.Inauma sana unaposalitiwa na mpenz mkiwa eneo moja na jion mlikuwa wote.Ndo yalonitokea kwa mrembo neema mwambao lake Tanganyika.Uamz wang tofaut sana na wanaume weng me nikprove kwa data sirudii mtu.ww vp mdau
mleta mada @ba GLORY Utakuwa ni umehitimu wa kidato cha nne wiki lililoisha .
Data zinaonesha kwamba ni aina ya madada wasiojua kukataa,ni wale wenye machoz meng ya kujhami.