Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,598
Ni kweli kuwa uchumi wa North Korea unategemea 80% hadi 85% kutokana na kufanya biashara ya kimataifa na nchi ya China(biashara ya coal na oil) lakini hivi karibuni China amemkumbatia Trump na kumsaliti North Korea kwa kukata biashara ya coal lakini pia yuko kwenye hatua ya kumkatia oil supply, je hatua hii itamdhibiti N/korea? Je amani itakuwepo ukanda wa peninsula(asia)?,
Je China atapoteza/kuongezeka kibiashara? Je atapoteza/kuongeza ushawishi wake huko Asia?
Karibuni.
Je China atapoteza/kuongezeka kibiashara? Je atapoteza/kuongeza ushawishi wake huko Asia?
Karibuni.