ngure mtongora
New Member
- Sep 13, 2012
- 1
- 0
Hallo,JF,
Wadau naomben mawazo yen juu ya tatizo hili,
Nina mjomba wangu ambaye ana mke na watoto watatu wameishi kwenye ndoa huu sasa ni mwaka wa 4. Watoto hawa watatu waliowazaa ndan ya hii miaka wawil ni mapacha,
Hawa watoto mapacha wamekuw wakiugua mara kwa mara hali inayopelekea kulazwa sana hosptal hali hii imesababisha mjomba kukosa raha kabisa katika kutafuta tiba kamili juu ya hawa watoto ndipo mtu mmoja akamwambia kuwa mapacha hao wanaugua kwasababu yeye sio baba yao hivyo ni bora awachukue na kuwapeleka mbali ili wakue na watakapotimiza miaka miwil au mitatu awarejeshe ndo hawataugua,
Kama mjuavyo wanaume tukiambiwa usaliti juu ya mke/mpenzi tunachanganyikiwa kupita kias, ndivyo ilivyokuwa kwa mjomba alijawa na hasira na kuzamilia kwenda kumuua mke wake. Alipofika nyumbani hakumsalimia mke wake na badala yake alihoji swali moja tu ni nani baba wa hawa watoto
Mke alipomweleza kuwa ni yeye alichukua panga kutaka kumkata mlemle chumbani walimokuwa mke kuona vile ndipo alipomweleza ukweli kuwa hao watoto ni wa kaka yangu mim ambaye kamaliza chuo mwaka huu na alikuwa akiishi hapo nyumbani kwa mjomba kwa kipindi chote cha miaka mitatu alipokuwa akisoma chuo,
Kaka yangu aliposikia maneno haya alitoweka nyumbani na mpaka sasa hatujui aliko, jambo hili limezua tafrani kwenye familia na ukoo kwa ujumla,
Wadau naomba mawazo yenu nami niweze kuishauri familia nini tufanye juu ya jambo hili.