MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,073
mmmmh we si ulisema juzi umwolewa au...?
mimi au nan
mmmmh we si ulisema juzi umwolewa au...?
...wewe mankaMmimi au nan
Usaliti wapi mkuu....
Haka ni kavulana tu kalikoanza kuvua vua chupi za wasichana juzi juzi hata hakaelewi nini maana ya mapenzi...
Unadate na binti miaka miwili halafu hujui kaka zake? Ni halali kucheatiwa tuu! Halafu unapekuwa facebuk, diary na simu umesahau nini huko?
Mkuu labda sura yako haisomeki vizuri yaani pua imezagaa utadhani mto Malagarasi umevunja kingo,hivyo mdada akaona atupie pic ya kihandsome boy cha town.
BTW;Jadilianeni Tu yatakwisha Ni mambo madogodogo Sana hayo unless Kuna dalili nyingine za usaliti.
;
MJADALA MWEMA.
Yaani picha tu unataka kutoa roho yako??? Nitajisikitikia kama nitakuta mke wangu ameweka picha ya ndugu yake wa kiume kwenye FB, whatupps n.k eti nianze kutoa povu, sembuse mpenzi tu. Cha msingi kaa tulia chunguza upate majibu. Na kama umekaa naye miaka miwili kama uko serious naye kweli hujafahamu ndugu zake wa damu?? Hapa nina mashaka kama na wewe si wa kuruka naye malavidavi tu na kumwacha!!! Pengine ameshakushtukia na anajua ukiona picha povu litakutoka na utamwacha ilia andelee na wa fremu wake. Ninaamini kama rafiki ni serious mmekaa mwaka na kuendelea yapaswa mfahamike si kufichana kama hirizi. Haya sasa uje na majibu mmejadiliana nini na maamuzi!!!! Kazi ipo.
Usaliti wapi mkuu....
Haka ni kavulana tu kalikoanza kuvua vua chupi za wasichana juzi juzi hata hakaelewi nini maana ya mapenzi...
Kusoma uwezi hata picha huoni......tupe majibu baada ya mazungumzo yenu tukupe ushauri zaidi usiwe mtu wa kukonkludi kabla ya tafiti..
hongeren, ila yawezekana anao kaka wengi so jitahd uwajue wote ili ucpanic tena cku nyingine. Ol da bestMkuu, kwanza shukrani kwa kufuatilia post yangu.
Pili, yaliyojiri ni kwamba ile picha ni ya kaka yake kweli, na uhakika umethibitishwa na ndugu yake ambaye alishiriki ktk makutano yetu.
Tumemaliza majadiliano yetu mnamo saa 22:45hrs, kwa furaha kabisa.
Shukrani kwa wanajmvi kwa ushauri, etc. Baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yenu....Amen.
Yaani picha tu unataka kutoa roho yako??? Nitajisikitikia kama nitakuta mke wangu ameweka picha ya ndugu yake wa kiume kwenye FB, whatupps n.k eti nianze kutoa povu, sembuse mpenzi tu. Cha msingi kaa tulia chunguza upate majibu. Na kama umekaa naye miaka miwili kama uko serious naye kweli hujafahamu ndugu zake wa damu?? Hapa nina mashaka kama na wewe si wa kuruka naye malavidavi tu na kumwacha!!! Pengine ameshakushtukia na anajua ukiona picha povu litakutoka na utamwacha ilia andelee vema mkuu!big up
Just fanya utafit ujue kama ni kaka yake au la?