Usaliti katika mapenzi

Usaliti katika mapenzi

Youngdsm

Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
18
Reaction score
1
Hebu tuongee kidogo, hivi unahisi usaliti katika mapenzi unasababishwa na nini?
 
Of coz unasababshwa na baadhi ya wa2 kuto kuridhika ktk mahucano yao
 
depriation ya love. Ni ardhi pekee ndio uongezeka thamani kadri cku zinaenda ile vingne vinadepreate.
 
Back
Top Bottom