VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 8,145
- 12,744
Aaha nikajua radi umewapa kipaumbele cha kuwapigaItakuwa! Nasemea walimu sio radi
Aaha nikajua radi umewapa kipaumbele cha kuwapigaItakuwa! Nasemea walimu sio radi
Tufanye uchunguzi gani ? Kwamba waalimu hawajui hali hatarishi kama hizi kwanini waone mvua tena ya radi wasipige kengere ya dharula ?Ni sahihi kudai uwajibikaji na viwango bora vya usalama shuleni, lakini madai ya uzembe lazima yajengwe juu ya ushahidi, si hisia.
Njia sahihi ni kuitaka mamlaka husika kufanya uchunguzi wa kina na kuweka miongozo madhubuti ya usalama wakati wa hali ya hewa hatarishi.
Si sahihi kutoa hukumu ya jumla kuwa “walimu ni wazembe” bila uchunguzi maalum wa tukio husika.
Radi ni tukio la kiasili lisilotabirika kwa uhakika (act of God), na kisheria, si kila madhara yanayotokana na tukio la asili yanabebeshwa lawama taasisi au mtu, isipokuwa pale ambapo tahadhari zinazotarajiwa hazikuchukuliwa.
Unaeleweshwa na David Harvey unashupaza shingo, basi Nenda usiku huu ukawaue walimu wote ili roho yako isuuzikeTufanye uchunguzi gani ? Kwamba waalimu hawajui hali hatarishi kama hizi kwanini waone mvua tena ya radi wasipige kengere ya dharula ?
Kwa uzoefu wangu radi hua inatoa warning kwanza itapiga ya kwanza itaenda ikirudi ya pili asee R.I.P
Swali langu hio warning waliipuuza wakaacha watoto nje wao wakijifungia staff wakinywa chai ya serikali