Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,957
Habari zenu ,it's my again
Ndugu zangu kama una mtoto au watoto wanasoma shule hizi kayumba usalama wao wakati wa mvua ni mchache sana radi zinapiga kila pahala , nimeona habari hapa Dar Kivule watoto wamepigwa radi . Hivi walimu wanaruhusu watoto watoke nje wakati mvua ikinyesha ?
Walimu wanajifungia staff wanaacha watoto wadogo wanakimbia kimbia nje au kwasababu sio watoto wao hawana uchungu mzazi unapokeaje taarifa ya kifo cha mwanao kapigwa radi akicheza shule wakati wa mvua ni uchungu.
Wazazi mvua ukiona dalili za mvua kimbilia mtoto wako
Mwisho, huu ni uzembe wa walimu unapelekea kifo cha watoto
----
Wanafunzi watatu wa Shule ya Msingi Msongola, iliyopo Kivule wilayani Ilala jijini Dar es Salaam, wamefariki dunia kutokana na kupigwa na radi.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amethibitisha tukio hilo na amesema tukio hilo limetokea leo Jumatano Machi 18, 2026.
“Ni kweli wanafunzi wetu watano walikuwa wakicheza shuleni wamepigwa na radi watatu wakafariki papo hapo, hawa wengine wanaendeleana matibabu,” amesema Muliro huku akiongeza kuwa wanafunzi wawili wamekimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu.
Chanzo: Mwananchi