huyo aliyemshikia kiti angemdaka
na sisi usalama wetu uko wapi?? bora yeye anasimama kwenye kigoda mwisho wa siku kimeeleweka!!!
aaaaah yote heri tu!!
they dont care about us, why should I??
na sisi usalama wetu uko wapi?? bora yeye anasimama kwenye kigoda mwisho wa siku kimeeleweka!!!
aaaaah yote heri tu!!
they dont care about us, why should I??
Hahahaha wakidondoka wote je huyo akili ipo kwenye kiti hapo na si usalama wa kiongozi wake.
Hahahaha hapo sasa kama wao wanahatarisha maisha yao hivi wewe watakukumbuka wapi.
KWANINI wewe?unaogopa kutoa kura yako?mimi nimeamua mwaka huu nanuna
mimi nimeamua mwaka huu nanuna
Hayo ndo yale yale ya Kikwete kujifanya anatibiwa MUHIMBILI...........anajaribu kufanana na anaowahutubia,.....heheeeee...usijshangaa kesho unapanda nae daladala......
Hii nimeipenda sanana sisi usalama wetu uko wapi?? bora yeye anasimama kwenye kigoda mwisho wa siku kimeeleweka!!!
aaaaah yote heri tu!!
they dont care about us, why should I??