Usalama wa viongozi upo kweli?

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,949
4,444
IMG_3485.JPG

Hivi kweli viongozi wanakuwa salama wanapo kuwa ziarani?
Hapa muheshimiwa Pinda hicho kiti alicho simamia kingeteguka angepona kweli hapo? Na mifupa hiyo ya uzeeni si ingekuwa balaa hapo tunaanza kuhangaika mara maombi mara aende India kutibiwa na mambo mengine.
 
2010 hii ndugu...!bora ukatibiwe tu kuliko kukosa N'CHELE!:D:D
 
na sisi usalama wetu uko wapi?? bora yeye anasimama kwenye kigoda mwisho wa siku kimeeleweka!!!
aaaaah yote heri tu!!

they dont care about us, why should I??
 
PM
as usual kapiga sandoz ..

Mkarambe mkarambe tu habadiliki..
 
huyo aliyemshikia kiti angemdaka

Hahahaha wakidondoka wote je huyo akili ipo kwenye kiti hapo na si usalama wa kiongozi wake.

na sisi usalama wetu uko wapi?? bora yeye anasimama kwenye kigoda mwisho wa siku kimeeleweka!!!
aaaaah yote heri tu!!

they dont care about us, why should I??

Hahahaha hapo sasa kama wao wanahatarisha maisha yao hivi wewe watakukumbuka wapi.
 
Sendos na suti.kapendeza.Kwa kweli hata mimi hili lilinishangaza sana kuona Waziri Mkuu yuko juu ya kiti badala ya jukwaa.Nimejiuliza maswali mengi sana.
 
Kwani kilo zake ngapi mpaka avunje mninga huo?? Ha ha Ha. Kindding!!! Lakini wakuu kwa Tanzania nani yuko serious!!!! Labda wewe na familia yako!!! Kila kitu bora liende!!! Ha ha ha. Naamini walishakipima kwa kupanda mtu mwenye kilo nyingi kuliko yeye ili kupima stamina ya kiti.
 
na sisi usalama wetu uko wapi?? bora yeye anasimama kwenye kigoda mwisho wa siku kimeeleweka!!!
aaaaah yote heri tu!!

they dont care about us, why should I??

mimi nimeamua mwaka huu nanuna
 
Hahahaha wakidondoka wote je huyo akili ipo kwenye kiti hapo na si usalama wa kiongozi wake.

Hahahaha hapo sasa kama wao wanahatarisha maisha yao hivi wewe watakukumbuka wapi.

eeeeh mi wa nini kwani yeye wa kazi gani??
avunjike hata nywele.....
 
Kuna red beret pale hana wasiwasi na usalama. By the way huko ni vijijini sana kwahiyo kupata kitu cha kukufanya sura yako ionekane na kila mpiga kura ni ngumu
 
The are just enjoying the fruits of a peaceful nation built by fathers of this nation. Tusione vyaelea viliundwa.
 
Waziri Mkuu amepanda juu ya kigoda akiwa na sandals, unadhani baada ya hapo mbunge atafanya nini kama sio kuwaamkia watoto wadogo "Shikamoo !! "
 
na sisi usalama wetu uko wapi?? bora yeye anasimama kwenye kigoda mwisho wa siku kimeeleweka!!!
aaaaah yote heri tu!!

they dont care about us, why should I??
Hii nimeipenda sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom