Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Jackbauer nimeamini kweli wewe mjeshi, hawa vijana wanatakiwa kuelezwa ukweli, walipo ripua ubarozi wa Marekani they didn't spare TZ because we were friends, they can strike any where regardless of any ties. Waache woga mkuu!!!!! The country is supposed to be defended at any cost!!!!!!!!Mwenzio akinyolewa zako tia maji, maandalizi mazuri muhimu kwa ulinzi wa taifa!!!!!!!!!!alshababu na maharamia wengine ni maadui na magaidi na wanapaswa kudhibitiwa at any cost.kama tulipeleka majeshi msumbiji kumsaidia rafiki sioni kwanini tusiwasaidie wana EAC wenzetu.maharamia hawa wanateka meli zenye madawa huwezi ukasema tuwaache eti kwa kuogopa mashambulizi ya mabomu.majangili wa kisomali waliwahi kutusumbua huko ngorongoro na jeshi letu liliweza kuwadhibiti tupunguze uwoga.