Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,254
- 34,205
Kuna kitu huwa najifunza kwa wenzetu hasa wachina, vyombo vyao vya usalama moja kati ya kazi wanazifanya "wizi wa teknolojia" kutoka kwa mataifa mengine!
Lakini hapa kwetu naona nintofauti kidogo, je ni kwanini bidhaa za Kenya zina dominate soko letu na sisi tupo tu? Ukienda dukani sabuni utakuta jamaa!
Ukienda dukani chumvi utakuta ya Kenya!
Je, vyombo vyetu vya usalama vimeshindwa kudukua teknolojia zao na sisi tuzalishe tutumie vyetu badala ya kuagiza nje?
Je, ni kwamba tunatamani kudukua lakini uwezo hatuna?