Usalama wa Taifa mchawi

Usalama wa Taifa mchawi

Kuna mzee mmoja ana umri wa miaka 70 hivi. Ni mstaafu wa Idara ya usalama wa Taifa.

Mimi sifahamu vitengo vilivyo ndani ya idara hii, kwahiyo sijui ni kitengo gani ndani ya idara alichokuwa anafanya kazi lakini alikuwa humo.

Alikuwa ni Land lord wangu miaka kama minne iliyopita. Ni mzee lakini anaonekana ana nguvu.

Huyu mzee ni mchawi kupita maelezo. Ni mchawi konkodi.

Nyumba yake ina mauza uza. Usiku watu wanatembea juu ya bati, hulali ndani vurugu na vioja. Nilikuwa naota mandoto ya ajabu ajabu mara makaburi mara majoka.

Wakati mwingine mida ya usiku anatoka anachinja kuku, ama anaita watu wanajadili mambo fulani fulani kama wanateta. Mara unasikia kama kuna mtu anapandisha mapepo?

Baadae "wataalamu" wakanitonya kwamba mzee ni mchawi. Nilihama sikugeuka nyuma wala sikumuaga.

Hivi inawezekanaje watu muhimu wanaoshikilia moyo wa nchi wanakuwa wachawi?

Ama kwenye hiyo idara kuna kitengo cha uchawi?

Hebu Mshana Jr njoo utupe ufafanuzi hapa...

Mpaka leo nimepigwa na butwaa!!
Pale idarani kuna vitengo vyote vyenye fani zote na wajuzi wote
Na hii iko mpaka kwenye cycles za ulinzi popote anapokuwa kiongozi mkubwa
Wenzetu wa CIA, KGB nk wana mpaka project za nguvu za giza kwa ajili ya usalama wa taifa
 
Dooooohh!!

Kwahiyo huyu mchawi aliajiriwa kule kwa minajili ya uchawi wake?
 
Kijana kisa chako na huyo mzee naifahamu vizuri sanaaaa.

Alikuahidi kukuingiza kwenye kitengo sasa mambo yalipogomà ndio umeanza kumponda
 
Kuna mzee mmoja ana umri wa miaka 70 hivi. Ni mstaafu wa Idara ya usalama wa Taifa.

Mimi sifahamu vitengo vilivyo ndani ya idara hii, kwahiyo sijui ni kitengo gani ndani ya idara alichokuwa anafanya kazi lakini alikuwa humo.

Alikuwa ni Land lord wangu miaka kama minne iliyopita. Ni mzee lakini anaonekana ana nguvu.

Huyu mzee ni mchawi kupita maelezo. Ni mchawi konkodi.

Nyumba yake ina mauza uza. Usiku watu wanatembea juu ya bati, hulali ndani vurugu na vioja. Nilikuwa naota mandoto ya ajabu ajabu mara makaburi mara majoka.

Wakati mwingine mida ya usiku anatoka anachinja kuku, ama anaita watu wanajadili mambo fulani fulani kama wanateta. Mara unasikia kama kuna mtu anapandisha mapepo?

Baadae "wataalamu" wakanitonya kwamba mzee ni mchawi. Nilihama sikugeuka nyuma wala sikumuaga.

Hivi inawezekanaje watu muhimu wanaoshikilia moyo wa nchi wanakuwa wachawi?

Ama kwenye hiyo idara kuna kitengo cha uchawi?

Hebu Mshana Jr njoo utupe ufafanuzi hapa...

Mpaka leo nimepigwa na butwaa!!
Duh.
 
Labda yule mzee enzi zake alikuwa aliwekea vinyesi wenziwe nje ya milango wakigombania safari za nje.
 
Jku Sky1woaaq 8ooio78o8ī7Poaw988i8ooon89ninnnardn8ooi78o8ī7Poaw988i8ooon89ninnnardninnnbmmmkm9upkooO.9qq9of2mmk1.minnnb but 8q? Si qs 8in juuinn89o
 
Back
Top Bottom