kama unanunua kupitia online markets kama ebay, baadhi ya sellers huwa wanakuwa na kitu kinaitwa money back guarantee. Am sure hata amazon wana kitu kama hicho. But sijajua kwa sites zingine kama aliexpress.... labda ww unatumia site gani?
Sent using
Jamii Forums mobile app