Unazani sijui mkuu? Shida Ni kwamba, taarifa zidi ya virusi Hawa inachanganya Sana, Kama virusi vina uwezo wa kukaa sehemu yoyote, inamaana ukinawa kwa sanitizer si wanadondoka chini? Wakiwa hapo chini wanakufa au hawana uwezo wa kusavive kwenye majimaji? Nini maana ya kusema hakuna dawa ya kumuua Corona virus? Kama ukinawa na kupuliza hizo dawa je huyo virus anakufa, ndo swali langu lilopo