Usalama wa akaunti ya benk

Usalama wa akaunti ya benk

galaxy jose

Member
Joined
Jun 19, 2019
Posts
5
Reaction score
9
Nina akaunti (ya biashara) katika benk fulani, nmekua nkipokea email zenye kunitaarifu nmeweka password isiyo sahihi ama nmejaribu kubadili password. Nilipowaeleza benki husika hakuna msaada wowote wa kitaalamu. Hivyo niliamua kutoa pesa zote na kuamishia kwenye account ya benk nyngne (ya mshahara) maana nnazo mbili

Msaada wenu JF, hii inaweza kuwa inasababishwa na nini, na nawezaje kulitatua hili tatizo
 
Back
Top Bottom