Ulifanya mistake kutoka bila kukamilisha usajili kwa muuzaji. Mie nina uzoefu wa zaidi ya mara tano na kununua hizo pikipiki mpya za biashara. Ila mara zote pale pale nawapa TIN no. na namba yangu ya simu .......baada ya siku 3 nafuata plate namba ambayo ina usajili wangu kamili(kibao cheupi....business), nikihitaji kibao cha njano .....nawapa 50,000/= nakifuata baada ya siku 3.
Sema round zote pikipiki nanunuaga kkoo tu.........sijajua huku pembezoni ya mji wana utaratibu gani.