Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 7,990
- 13,645
Money talk.
Hapana aisee. Waru kama Di Maria, Verratti ni watu wa kazi sana. Mbape kila mmoja anajua shughuli yake. Sema timu inapokuwa na mastaa wengi kocha anapata tabu jinsi ya kupanga kikosi.Messi kajaa mwenyewe kwa PSG, tatizo PSG mabishoo wengi sio watu wa kazi.
Hapana aisee. Watu kama Di Maria, Verratti ni watu wa kazi sana. Mbape kila mmoja anajua shughuli yake. Sema timu inapokuwa na mastaa wengi kocha anapata tabu jinsi ya kupanga kikosi.Messi kajaa mwenyewe kwa PSG, tatizo PSG mabishoo wengi sio watu wa kazi.
Kabisa.. I wish aende kwa watoto mjini pale ingelikuwa tamu zaidiMessi kajaa mwenyewe kwa PSG, tatizo PSG mabishoo wengi sio watu wa kazi.
PSF ndio club itakayomudu gharama za malopo ya messikwa sasa. Na hii corona sioni kama kuna club nyingine itakayoweza kumudu.
Tatizo ni Laliga mkuu.Ningependa kuona messi akibaki spain na kujiunga na Atletico Madrid akiungana na mshkaji wake Luis Suarez. Na kuendelea kulishika soka la hispania.
Kweli dunia duara. Messi kushare dressing room na Ramos. Hiii ni kibokoNampendaga Ramos ye ndo atafanya nishanbikie PSG mweeh!sikutegemea hii kitu Ramos na Messi pamoko,Mbape na Neymar
Messi kajaa mwenyewe kwa PSG, tatizo PSG mabishoo wengi sio watu wa kazi.
Money talk.
Hapana aisee. Waru kama Di Maria, Verratti ni watu wa kazi sana. Mbape kila mmoja anajua shughuli yake. Sema timu inapokuwa na mastaa wengi kocha anapata tabu jinsi ya kupanga kikosi.
Ni kama ilivyokuwa kwa France kwenye Euro iliyopita. Mastaa kibao ila walipigwa kirahisi tu.
Nampendaga Ramos ye ndo atafanya nishanbikie PSG mweeh!sikutegemea hii kitu Ramos na Messi pamoko,Mbape na Neymar
Uefa hawabebi kamwe hawa.....Qatar confirms Lionel Messi is signing for PSG
10 hours ago / autty
Developments regarding Lionel Messi's immediate future are coming quicker than anyone expected, and after Barcelona announced he wasn't staying as recently as Thursday night, the brother of the Emir of Qatar has confirmed that the Argentine is signing for Paris Saint-Germain.
Khalid bin Hamad Bin Khalifa Al-Thani, who is the brother of the Emir who owns PSG, confirmed in a social media post that the negotiations with Messi were complete and an announcement would soon follow.
"Negotiations are officially concluded, there will be an announcement later #Messi," Al-Thani posted on Twitter.
This news comes as no surprise as Pep Guardiola ruled Manchester City out of the running to sign Messi in his pre-match press conference on Friday, and it's obvious only the two state-owned clubs would be able to afford to sign Messi.
In their quest to win the Champions League, PSG have now turned to proven winners, with Sergio Ramos and Messi bringing eight Champions League trophies between them to the Parc des Princes dressing room.
Related:
View attachment 1883803