Usajili wa Form V

Usajili wa Form V

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
18,117
Reaction score
28,019
Kama kichwa kilivyo hapo juu,wadau naomba mwenye kujua,hivi usaili (Interviews) kwenye mashule wa kwenda form V unaanza mwezi gani...?
 
Selection huwa zinatoka mwezi gani..?
 
Private schools huwa na usaili inabidi kama ndiyo unazo ulizia ujaribu kufuatilia kwenye magazeti na web site zao hasa around mwezi wa tatu.
 
.
IMG-20190220-WA0002.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom