Usajili wa Chadema Digital wasambaa kwa kasi , Sasa ni zamu ya Shinyanga Mjini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,230
Hali ndio kama mnavyoiona, kundi la akina mama limeomba kusajiliwa kidigital huko Shinyanga Mjini.

Zoezi_la_Usajili_wa_Wanachama_katika_mfumo_wa_%40ChademaDigital_likiendelea_katika_Jimbo_la_Sh...jpg


Uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba kesi ya uongo ya Ugaidi inayayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe imechangia kwa kiwango kikubwa ongezeko la umati wa watanzania kujisajili kidigital.

Mungu ibariki Chadema.
 
Hali ndio kama mnavyoiona , kundi la akina mama limeomba kusajiliwa kidigital huko Shinyanga Mjini .

View attachment 1987780

Mungu ibariki Chadema .
Mwanzo wa ngoma ni Lele hizi picha wenye familia wasizifute zitaingia kwenye kumbukumbu kwamba wakati ccm (KANU) inauwa watu inateka watu na ikamfunga Rais (Mbowe) sisi tulithubutu kujitenga na wahuni !
 
Maisha ya binadamu usiyakadirie Kuna watu leo wanawaumiza wenye haki kisa ccm unalazimisha dola hivi siku dola ikiungana na wananchi vs ccm Hawa wahuni wa leo wanaijua kesho yao?
 
Wasipotafuta Suluhu Sasa hazina wanazojilimbikizia obey mbweni masaki ununio hazitamilikiwa na wao Wala vizazi vyao by 2050 umma utaamua.

Sasa wakazane kuufunga muda Leo kabla siku nyeusi haijaja . Siku watoto wanaoitwa wa buza hawajaenda kwenye sheli ya puma na kanisani obey kujitwalia migorofa.
 
Wakati haujawahi kuwa sahihi kuliko huu tulio nao sasa hivi. Kwa hiyo ni wakati wenu sasa kuutumia vizuri kwa upande wenu!

Ikishindikana wakati huu, itawalazimu mkajiulize mara mbili mbili mnapokosea.

Tunawatakia kazi njema na mafanikio bora ya kuinusuru nchi yetu kutoka kwa maharamia.
 
Wakati haujawahi kuwa sahihi kuliko huu tulio nao sasa hivi. Kwa hiyo ni wakati wenu sasa kuutumia vizuri kwa upande wenu!

Ikishindikana wakati huu, itawalazimu mkajiulize mara mbili mbili mnapokosea.

Tunawatakia kazi njema na mafanikio bora ya kuinusuru nchi yetu kutoka kwa maharamia.
Gari limewaka
 
hakuna kundi la kina mama hapo; ninaona wanawake wawili, ambapo labda mmoja na mke wa huyo jamaa mwenye simu, na mwingine labda ni ndugu yao wanaongelea jambo fulani la kifamilia huku huyo jamaa akiwa anawasomea ujumbe kutoka kwa ndugu mwingine ambaye hayupo hapo.
 
Back
Top Bottom