Usajili Vyama vya siasa, ni kuwanasa first 11 ya kila Chama, angalia orodha

Baada ya dirisha la usajili kufunguliwa nchini TZ baadhi ya klabu zimekwisha kukamilisha uhamisho wa wachezaji.
-Klabu ya ACT imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji hatari wa NCCR Moses Machali, nayo

-klabu ya CHADEMA inafikiria kumsajili mlinda mlango wa CCM aliyekosa namba kwenye kikosi cha kwanza cha ccm Eduwad Lowassa huku dau lake likitarajiwa kuvunja rekodi ya dunia japo gharama za kummudu mchezaji huyo ni kubwa sana anataka mshahara mkubwa sana, na amekuwa akishutumiwa kushuka kwa kiwango chake baada ya kupigwa benchi mara kwa mara na CCM toka mwaka 2008, na amekuwa akihusishwa na kutaka starehe kwenye clabu ya richmond ambayo imepelekea kushuka kwa kiwango chake, yeye amekuwa akimlalamikia striker samuelsitta ambaye alikuwa akihusishwa kuisaka namba yake na unahodha ,

-Na klabu ya CUF nayo ikombioni kumsajili mlizi wa CCM Kingunge Ngombale Mwiru ambaye kwasasa hanafuraha klabuni hapo.

-Wakati klabu ya NCCR ikihaha kupata mbadala wa nyota wake aliyetimkia ACT machali taarifa zinasema klab hiyo imeanza mazungumzo na winga wa ccm Makongoro Nyerere aliyesumbuliwa na majeruhi kwa msimu mzima juu ya kujiunga na miamba hiyo ya NCCR
-Naye winga wa Ccm James Lembeli amezungumzia hatma yake clubun hapo na amesema yuko tayar kuondoka endapo wachezaji wenzake wataendelea kumchezea rafu kwa kipindi cha kujianda na msimu wa ligi, zipo club nying zinawania sain mchezaj huyo ila yeye anataman kujiunga na Chadema

-Baada ya ACT kuikosa sain ya mchezaj wa CCM(Shibuda) aliyekuw kwa mkopo Chadema, ACT wameelekeza nguvu zao kwa mchezaji nguli wa ccm Emanuel Nchimbi ambaye amevurugana na timu yake

-Ccm imempleka tena kwa mkopo-TADEA mchezaji Shibuda kwa mkataba wa miaka 4 hadi 2019 -

-Said Arfi, amerejea kwny timu yake ya zaman ccm baada kumaliza mkataba wake wa miaka 10 akiwa chadema
Naye ester bulaya yuko huru sasa mkataba wake na ccm umekwisha, hivo yuko tiyari kwenda kwa wakala reginad mengi kuona kama atampatia club ya kwenda,


Kwa tetesi zingine ni kesho tukijaaliwa
usajiri wa kingunge
 
HuhubuhuhuOTE="Van persie, post: 13355984, member: 77448"]Teh teh teh teh,dah noma kweli,tena noma sana.[/QUOTE]
Huhubuhu
 
Back
Top Bottom