Usajili: Clatous Chama arejea Simba SC

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Mwamba ametambulishwa mchana huu, sasa vyura mkae mkao wa kupakatwa

FB_IMG_16421552698824974.jpg
 
Babu alieshindwa soka morocco chama clatous amerudi simba na atapewa jezi namba 17 hii ni aibu kwa soka la tanzania kurudisha wachezaji walioisha kiwango kama chama daaah simba ina vitu vya kuiga kwa yangaaaView attachment 2080712
Wakati mechi ya mwiso timu ya RS - Berkane ilishinda 4- 1 na Chama ndiye alikuwa man of the match.... Unadhani Chama ni Makombo? (Makambo) kwamba match nzima hakugusa hata mpira?
 
Babu alieshindwa soka morocco chama clatous amerudi simba na atapewa jezi namba 17 hii ni aibu kwa soka la tanzania kurudisha wachezaji walioisha kiwango kama chama daaah simba ina vitu vya kuiga kwa yangaaaView attachment 2080712
Na mlivyokuwa mnampigia hesabu mpaka kushinda na Agent wake kila wakati, hamkujua kama ameshindwa soka huko Morocco?
 
Babu alieshindwa soka morocco chama clatous amerudi simba na atapewa jezi namba 17 hii ni aibu kwa soka la tanzania kurudisha wachezaji walioisha kiwango kama chama daaah simba ina vitu vya kuiga kwa yangaaaView attachment 2080712
Wakati mwingine amani na uhusuiano mwema na watu vinakufanya uvutiwe kuwa sehemu fulani kuliko nyingine. Sitarajii kwamba anakuja kufanya maajabu bali ni suala la maridhiano ya pande mbili kati ya simba na chama likiongozwa na 'upendo'. Simba wanapenda kuwa na chama, nae chama anapenda kuwa na simba.

Sasa nyie utopolo endelezeni maneno, vijembe, wivu na roho ya 'kwa mini' muone kama mtafanikiwa ki-soka. Njia pekee mliyobakiza kuwafurahisha mashabiki wenu ni kuwakebehi simba kwa kila wanalofanya. Ndo maana mliona Haji Manara anawafaa wakati ambao tayari simba walishaona hafai tena kwa maendeleo ya soka la kisasa.

Yanga badilikeni, wanasimba tunahitaji soka la ushindani makini kisoka.
 
Babu alieshindwa soka morocco chama clatous amerudi simba na atapewa jezi namba 17 hii ni aibu kwa soka la tanzania kurudisha wachezaji walioisha kiwango kama chama daaah simba ina vitu vya kuiga kwa yangaaaView attachment 2080712
Acha hizo angekuwa anakuja yanga ungeandika hivi,kwanza huyu hajashindwa ameamua kwa matakwa yake kurudi na mara ya mwisho alikuwa man of the match kwenye mchezo wa ligi kuu aliocheza dakika 90,halafu huyu hajamfikia ubabu kama aucho.
Screenshot_20220113-182655_Instagram~2.jpg
 
Babu alieshindwa soka morocco chama clatous amerudi simba na atapewa jezi namba 17 hii ni aibu kwa soka la tanzania kurudisha wachezaji walioisha kiwango kama chama daaah simba ina vitu vya kuiga kwa yangaaaView attachment 2080712
Usilie bila leso utakula kamasi buree.

Hii maana yake mchezaji yeyote mzuri akitoka Simba SC sasa hivi ni ulaya moja kwa moja, sio Afrika tena, hapa Afrika Simba SC ni timu kubwa.
 
Babu alieshindwa soka morocco chama clatous amerudi simba na atapewa jezi namba 17 hii ni aibu kwa soka la tanzania kurudisha wachezaji walioisha kiwango kama chama daaah simba ina vitu vya kuiga kwa yangaaaView attachment 2080712
UtOPoLo dot com,wavivu wa kufikiri, wavivu wa kung'amua ukweli,wavivu wa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati muhafaka, wamebaki kupiga blaablaaa mitandaoni.
FB_IMG_16125791949448611.jpeg
 
Back
Top Bottom