germanium
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 892
- 1,329
Haya twende taratibu niambie ni pepa gani hiyo waliuliza terminals za umeme then wakasisitiza ziwe in electrical useUongo gani Sasa au na ww ulifanya halaf ukaingia chaka ndio maana hutaki kukubali matokeo?