Usaili wa kujiunga na jeshi la polisi tanzania

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,906
6,909
Habari wanajamvi.

Ukitembelea web ya Jeshi la Polisi kwa wale waliofanikiwa kuifungua, utakuta hot mbili, moja ni ya kuwajulisha wale walipita katika usaili na siku ya kuriport tayari kwenda kujifunza mafunzo ya uvumilivu na tangazo la pili ni tangazo la usaili kwa wale vijana wa form four 2011 na form six 2012 walikosa kushiriki usaili kwa sababu mbalimbali.

ninaambatanisha tangazo hilo, ili ikiwezekana kama unamfaham kija aliyeshindwa kushiriki basi atumie fursa hii kujiunga na jeshi la polisi kama alikuwa na ndoto hiyo.
 

Attachments

  • TANGAZO LA USAILI..pdf
    590.9 KB · Views: 3,235
jamani muwajulishe hawa fomu four, wengi wanahitaji lakini wanakosa taarifa sahihi. sasa hii wasikose tena
 
Back
Top Bottom