Usaili wa kada za TAA unafanyika vituo gani ?

jokielias

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
1,210
Reaction score
363
Habari wadau,

Usaili wa kada mbali mbali katika Taasisi ya TAA mamlaka ya viwanja vya ndege zimetangazwa April 2025. Kupitia utumishi.

Nina changamoto moja, nahitaji msaada kwa wadau.

Vituo vya usaili wa written interview kwa kituo cha Dar wanafanyia wapi ??

Nimekwama hapo wadau naomba msaada kwa anayejua.

Interview ni tarehe 23/04/2025.
 
Siku 3 kabla ya usaili utaona kituo chako kwenye akaunti yako. Kikubwa endelea kufanya maandalizi huku ukiwa kwenye mkoa wa kanda husika kama kuna ulazima wa kuwahi.
 
Ajira portal wameandika ratiba tu, hawajaandika written interview inafanyika kituo gani kwa Dar.
Ndiyo maana nimekuja huku Jamii forum kuomba msaada.
watakuwekea mzeee usiwe na haraka
 
Habari wadau,

Usaili wa kada mbali mbali katika Taasisi ya TAA mamlaka ya viwanja vya ndege zimetangazwa April 2025. Kupitia utumishi.

Nina changamoto moja, nahitaji msaada kwa wadau.

Vituo vya usaili wa written interview kwa kituo cha Dar wanafanyia wapi ??

Nimekwama hapo wadau naomba msaada kwa anayejua.

Interview ni tarehe 23/04/2025.
Maybe DUCE
 
mgulani jkt
 
Back
Top Bottom