Usaili wa Chuo cha MUST, Mbeya

Abdul kalaam

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
446
Reaction score
568
Habari wadau,

Kumekuwa na sintofahamu kuhusu hizi saili zinazoendelea mbeya university of science and technology kada ya T.A.

Kupitia utumishi kawaida huwa wanatoa namba ya mtihani kabla ya kwenda kwenye usaili tofauti na MUST wao hutoa namba siku ya mtihani.

Pia matokeo huwa hayaandikwi kama umepata maksi ngapi wanaandika kama umefeli au umefauli

Jambo jingine matokeo hayawekwi kwenye website ya utumishi

Nimekuwa nikitilia shaka huu utaratibu.

Je, tayari huwa wana watu wao wanataka kuwachomeka?
 
MUST wamekukosea nini? Waandikie barua kuhusu malalamiko yako, kupitia utumishi.
 
Bila connection Hutoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…