Usaili TRA

Weka maswali hapa vipanga tuyasolve..sio unalia lia hovyo tu hapa.
 
Dah wadau mtihani wa assistant custom officer tra ulikua mgumu balaa... Yaani hawa jamaa wamevunja rekodi....

Ha ha ha ha Pole Mkuu.. Kesho tena wengine watapambana nayo pale IFM.. Hebu niambie kulikuwa na nyomi la nguvu au..?
 
Tayari mleta uzi keshaingia king maana wanaanza kukufrastrate mapema ili hata ukikosa usilete kisingizio cha kimemo!
 
Kiukwel wametuboa, watu tumetoka mikoan then watubwenyewe hawaelewek hata kidogo watu tumekaa had tumechoka na had muda huu hakuna matarajio ya kuingia kwenye hiyo interview kiukwel wameboa, coz muda waliotuambia tuje ni tofaut sana na tutakao ingia kufanya hiyo interview TRA MMEBOA VBY MNOOO
 
Wamekera sana yaani nimesimama hadi nimechoka... Watu tumefika saa 1 asubuh wanaosimamia mtihan wamefika saa 2... Interview wanaingia mmoja mmoja kero sana hii serikali iangalie jinsi tunavyonyanyaswa na hawa watu.. Huu ni udhalilishaji wa wasomi

Unaonaje ukiondoka maana humu ndani hatuchezi ukiondoka utatupunguzia kazi
 
Pepa ilivuja vijana...km hukuipata pole..
 
mimi ndo maana cfanyagi interview zao hizo!
 

Hili ni tatizo wakat uzembe hautofautishwi na uchapaji kazi na kuwajibika ipasavyo. Shame Tanzania bado ina vumilia upuuzi kama. Mtu anaetafuta ajira anatahili kuonyeshwa maadili ya kikazi na kusaidiwa hata kama hatachaguliwa aheshimiwe kwa wakati alio sumbuka kuja kwaintervew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…