mirymicaiah605
Senior Member
- Apr 6, 2014
- 107
- 17
Ulituma kwa email zilienda?????
Wamekutumia kwa njia gani??????
Dah jiandae tu bt kama hakuna mtu unayemjua geresha!
uko mkoa gan ndugu...?Yeah email ilienda na wamenipigia cm..cna hata nimjuae haya ngoja nikapate experience ya interview!
uko mkoa gan ndugu...?
Cmjui mtu ndugu yangu..wanauliza maswal gani?
wapumbavu hawa kwa nini tukituma sms zilikua haziendi hzo nafasi wapeni
mahawara zenu
shemeji zenu
wadogo zenu
wake zenu
nyumba ndogo zenu
Cha ajabu baada ya DEADLINE kuisha nimetuma zimekwenda fasta bin chapchap. Duh! Jaman kwel TZ yataka moyo.
Maswali yao yanakuwaje?hasa wanaangalia vigezo ganuKIWA NA UWEZO UTAPATA KAZI , MIMI NIPO BRANCHI MOJA HIV YA TPB NA NIMERIPOT HATA WIKI HAIJAISHA , HAO FREELANCERS WALIFANYIWA INTERV SIKU MOJA KABLA SIJAJA KURIPOTI NA WA HAPA BRANCH NILIPO TAYARI WALISHAKABIZIWA KWA SUPERVISOR WAO , THOUGH KUNA WENGINE HAWAKU KIZI VIGEZO , MAY BE WAMEKUITA ILI UJAZE NAFAI ZILIZOBAKI BUT WANGEKUPIGIA SIMU , TPB HAKUNA LONGO LONGO UKIWA UNAJUA UNAPATA KAZI...JIOI NJEMA...
Maswali yao yanakuwaje?hasa wanaangalia vigezo gan
maswali huwa ni ya kawaida sema wanataka uwe straight...mf ukiulizwa salary wanakwambia ukianza kusema according to ur nini sijui wanakudesqualify...wanataka straight uwatajie figure...mi nilifanya interview ya freelancer dar na kufanikiwa kupita...maswali yaliyokuwa yanaulizwa ni km why are u here, have u ever done sales b4...then anakupa kitu mf chupa ya maji anakwambia mkomvinsi ayanunue, au unaeza kuambiwa who are you...au what is ur salary expectation...na kitu cha msingi ni kuzijua product na services zao...google website yao utaona...isome na ielewe vzur tpb popote, Wadu acc na vtu ka hvyo....utapita ila mshahara sasa ndo shida inapokuja