Faraja yangu
Member
- Apr 18, 2014
- 34
- 9
Habari wana JF,TPB walitoa tangazo la kazi kwa nafasi za freelancers na team leaders,nilituma maombi kwa e-mail lakini ilifail,lakini leo wamenitumia sms tano mfululizo za aina moja wakinihitaji kwenye usaili keshokutwa,pia wametoa namba zao kwa shida yoyote.Je,watakuwa kweli ni wao au watapeli wa mjini?Nisaidieni jamani