Kwa nini ninakushauri usiache kuchangamkia fursa hii ya aina yake ya kuingiza kipato cha mwezi milele na Perfect Internet?
Kwanza: Perfect Internet ni mtandao wa uhakika. Mimi ni mwanachama wa mtandao huu tangu hata haujaanzishwa wakati uko kwenye ubao wa uundwaji wake (Drawing Board) hapo November 2011 baada ya kufahamishwa na rafiki yangu kutoka Norway. Wakati huo fursa ilikuwa ni kujiunga na mtandao unaotaka kuanzishwa (pre-launch) na unaalika angalau watu watatu ili uweze kuwa mwanachama wa kugawana faida na Perfect Internet ambapo asilimia 50 ya faida itagawiwa kwa wanachama na asilimia 50 iliyobaki itagawiwa kwa wamiliki. Nilifanya tathmini kwa kufuatilia habari zake mtandaoni pamoja na kujiunga kwenye kurasa zake mbalimbali zilizotapakaa kwenye mitandao ya kijamii ili kuona kama mtandao huu ni wa kitapeli au la. Baada ya kuridhika na uhalisia wa mtandao huu, nikajiunga na kuanza kualika watu. Nilifanikiwa kualika watu 3,945 kwa miongo mitano kwenda chini ambao ndio mtaji wangu wa kugawana faida kwenye tovuti hii. Tovuti imeanza kutengeneza faida mwezi wa September 2013 na tayari tumeshagawana faida ya mwezi huo na sasa tuko mbioni kugawana faida ya mwezi wa October itakapofika hapo 15/11/2013. Ingawa tumeanza na faida ndogo katika mwezi wa September 2013 ambapo kila mtu uliyemualika anakupatia $0.005 lakini kiwango hicho kilikuwa kama ilivyopangwa kutokana na mchanganuo tuliopewa. Mwezi wa October kiwango kilichopangwa ni $0.015 kwa kila mtu uliyemualika. Miaka mitatu baadaye kiwango kilichopangwa ni $8 kwa kila mtu uliyemualika na baada ya miaka mitano kiwango kitakuwa $10 kwa kila mtu uliyemualika. Ukiachilia fursa hiyo, mimi ni mmiliki vilevile wa huu mtandao kwani nimenunua shares zipatazo 225,000. Wakati huo tulipewa ofa ya kunua share moja, unapata share moja ya bure na share moja unakopeshwa. Nikatoa $1,000 kwanza baadaye nikaongeza $1,000 na mwisho nikamalizia na kutoa $1,000 nyingine. Nimechukua uamuzi huo baada ya kuona kwamba huu ni mtandao wa uhakika. Na si mimi peke yangu niliyochukua uamuzi wa kununua shares hizi kwani Watanzania wengi wamechangamkia fursa hii ambao nawafahamu. Perfect Internet inatarajia kuingia kwenye soko la hisa ifikapo mwisho wa 2014 na matarajio yaliyopo ni kwamba kila share moja itakuwa na thamani kati ya $1 mpaka $5.
Pili kama nilivyoelezea hapo juu mtandao tayari umeanza kutengeneza faida na kulipa wanachama wake hivyo mtandao huu umeshakomaa tayari na sio mtandao unaoota ndoto kama mitandao mingi mipya ilivyo.
Tatu kuchangamkia fursa iliyopo sasa hivi ya Perfect App hutakiwi kulipa hata senti tano. Ni kujiunga tu bure na kualika watu hadi hapo tarehe 28/02/2014 wakati fursa hii itakapotokomea. Tayari wanachama wameanza kulipwa kwenye fursa hii ya Perfect App kuanzia mwezi wa October 2013 hivyo huu nao ni ushahidi mwingine kwamba huu mtandao ni mtandao wa uhakika.
Tatu hakuna kazi yoyote utakayotakiwa kufanya ili uweze kulipwa. Ni kupakua tu Perfect App kwenye computer yako kwa sasa na punde tutaweza kupakua Perfect App kwenye simu zetu za mkononi. Ukishaipakua unaifungua kwenye computer yako na yenyewe inaanza kurekodi mda wa wewe kuitumia hata kama baada ya kuifungua unaachana nayo na kuendelea na shughuli zako zingine au kwenda kwenye mitandao unayoipendelea wewe. Itaendelea kurekodi mda wako wa kuitumia kwa lisaa limoja halafu itasimama. Ukiona imesimama kurekodi mda wako wa kuitumia basi unarudi kwenye Perfect App na kubonyeza kiungo chochote kilichopo ndani ya Perfect App nayo itaendelea kurekodi mda wako pale ilipoishia mara ya mwisho kwa mda wa lisaa limoja lingine.
Nne Perfect Internet ni mtandao pekee ambapo wanachama wake wanashirikishwa katika maamuzi ya kiutendaji na kimikakati kwa kupiga kura. Kama wanachama wakikataa jambo basi jambo hilo haliwezi kupitishwa. Vilevile ni mtandao pekee ambao kama mwanachama unaweza kuuliza swali lolote na likajibiwa ama na utawala wa Perfect Internet au na bodi iliyochaguliwa na wanachama kutuwakilisha kwenye utawala wa Perfect Internet.
Nne mapato utakayopata kwenye matumizi ya Perfect App hayaishii kwenye matumizi yako tu bali yanajumuisha matumizi ya watu uliowaalika kwa miongo mitano kwenda chini. Kwa mfano, ukiwaalika watu basi hao wanakuwa muongo wa kwanza kwako. Hao watu uliyewaalika wakialika watu basi wanakuwa muongo wa pili kwako. Hao wa muongo wa pili wakialika watu basi hao wanakuwa muongo wa tatu kwako. Hivyo hivyo mpaka muongo wan ne.
Mimi nimeshaalika watu 1,036 mpaka sasa kwenye muongo wa kwanza ingawa wengi hawajaalika watu hivyo kwa miongo mitano nina watu 2,745 mpaka sasa. Vilevile wengi waliomo kwenye mtandao wangu hawana computer kwa sasa hivyo hawajaanza kuitumia hii Perfect App hivyo mapato yangu kwenye mradi huu hayajaanza kuchanganya ukilinganisha na idadi ya watu nilionao ingawaje kwa sasa naingiza $1.5 kila siku hata kama nisipofungua hii Perfect App kwani watu niliowaalika wanaoitumia hii Perfect App wananiwezesha kwenye mradi huu. Simu za mkononi zikianza kutumika basi mapato yangu kwa siku yataongezeka mno. Vilevile mapato ni madogo kwa sababu mradi ndio kwanza unaanza. Tumeanza na malipo ya $0.01 kwa kila saa moja la matumizi ya hii Perfect App kwa wewe mwenyewe na kwa watu uliowaalika kwa miongo mitano kwenda chini. Kadri tunavyosonga mbele basi kiwango hiki cha malipo kwa saa kitakuwa kinaongezeka.
Jiunge sasa mapema ili upate mda wa kutosha wa kutengeneze mtambo wako wa kutema pesa usiku na mchana mpaka hapo fursa hii itakapotokomea hapo 28/02/2014. Baada ya hapo wewe ni kukunja nne na kusubiri kuvuta mavuno yako kila mwezi milele. Ukifa unarithisha mtambo wako kwa warithi wako ambao wataendelea kuutumia na kuwarithisha warithi wao pia.
Ushauri wangu kwenu ni kwamba mimi nimeshafanya kazi ngumu ya kuuchunguza mtandao huu kwa mda mrefu na kuuona kwamba ni mtandao wa uhakika wa kujiunga nao ili kuchangamkia fursa hii ya Perfect App. Kama unataka kupata fursa ya kuingiza kipato mtandaoni basi usiache kuchangamkia fursa hii.
Bonyeza kiungo hiki sasa kujiunga
The Perfect App