Usahili WCF bado

kisimbomeck

Member
Sep 9, 2016
35
18
Ndugu zangu habari za jion, nauliza kama Kuna mtu yeyote mwenye information kuhusu kuitwa Usahili workers compasation Fund maana ni kitambo sana hadi leo isije watu wameitwa kimya Kimya...
Mwenye informations yeyote
 
NASKIA JAMAA WANAFANYA UTARATIBU WA KUHAMIA DODOMA KABISA. SIO WAANZE KUAJIRI WATU AFU BAADAE WAPATE GHARAMA ZA KUWAHAMISHIA DODOMA. SO MPAKA WA SETTLE DOM NDO WATAITA AU KUZITANGAZA UPYA.
 
Back
Top Bottom