Tumaini Makene
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 2,650
- 6,088
Haya wee muda si mrefu mwenye macho hatakuwa na haja ya kuambiwa tazamaCHADEMA iko imara kuliko wakati mwingine wowote ule, hasa katika kipindi hiki ambapo inaendelea kujiandaa kuwatumikia Watanzania na kupanga mikakati mbalimbali, kwa kushirikiana na washirika wenza kwenye UKAWA, kuikabili CCM iliyomeguka vipande vipande na kuiondoa madarakani.
Wakati mwingine usikubali tu kila knachosemwa na Makene. Yeye ni mtoto mdogo sana ndani ya CHADEMA. Mkakati wa Lowasa kuhamia CHADEMA upo kwenye High Profile.. Ahsante kwa Taarifa kamanda
Wameshilwa na kwikwiTupe ratiba kamili ya kutangazwa kwa jina la mteule nahodha wa Wanamabadiliko.