Hii ni habari njema!
Kwa kuwa maamuzi umeyafanya wewe, basi uwe na msimamo na moyo wa kushinda majaribu!
Pata tiba ya magonjwa ya zinaa, pata ushauri wa kisaikolojia - jichanganye humu jf, na pia katika shughuli zako za kukupatia kipato!
Pia uje utupatie kwa kirefu experince yako, maana utasaidia kuokoa wengi!
Cc
Heaven on earth