Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,579
- 2,908
Mama ana mikono mia, nia aina ya wale watu wenye ilimu ya kua sehemu mbili kwa wakati mmoja.OCTOBA NI TIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
MAMA ANAFANYA KILA SEKTA YEYE TU
Upofu wa kutoona mbali.Usafirishaji: Wazawa chini ya Rais Samia waula
Mwaka 2020 jumla ya miradi ya wazawa katika Sekta ya usafirishaji mizigo iliyosajiliwa katika kituo cha uwekezaji ilikua ni 6 huku idadi ya miradi ya wageni ikiwa ni 5, katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia miradi ya wazawa kwenye sekta ya usafirishaji iliyosajiliwa katika kituo cha uwekezaji (TIC) imefika 97 huku miradi ya wageni ikiwa 29. Ongezeko la miradi ya wazawa iliyosajiliwa katika sekta ya usafirishaji mizigo imefikia 91 ambayo ni sawa na Ongezeko la mara kumi na sita.
OKTOBA TUNATIK SIEOCTOBA NI TIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
MAMA ANAFANYA KILA SEKTA YEYE TU
NANI KASEMA RAIS SAMIA NI MWARABU?Acheni uongo DART tu amewapa wajomba zake waarabu
Maswali mengine yanaonyesha jinsi ulivyo kiazi.NANI KASEMA RAIS SAMIA NI MWARABU?
Habari ndio hiyo tuOKTOBA TUNATIK SIE
pumbaMaswali mengine yanaonyesha jinsi ulivyo kiazi.
Wewe ndiye ujijibu hilo swali lako.
Nimeongelea wajomba.
sijakuelewaMama ana mikono mia, nia aina ya wale watu wenye ilimu ya kua sehemu mbili kwa wakati mmoja.
vipi mkuuAiseeeeeee
MKUU HEBU FAFANUA HIIUsafirishaji lazima wakimbilie TIC kukwepa kodi kwenye kuagiza trucks.
Huwezi kuelewasijakuelewa
Ukienda TIC, ukiwa unaagiza anyithing above 100mil, unapata msamaha wa import duty, pia TIC wanasimamia VAT defferment, yani VAT unakuwa unalipa kidogo kidogo ndani ya mwaka unaimaliza.MKUU HEBU FAFANUA HII
hii ni nzuri sanaUkienda TIC, ukiwa unaagiza anyithing above 100mil, unapata msamaha wa import duty, pia TIC wanasimamia VAT defferment, yani VAT unakuwa unalipa kidogo kidogo ndani ya mwaka unaimaliza.
Hivyo kama uliagiza trucks zenye thamani ya 400mil, Import duty ni 25%, hapo unapata msamaha wa 100mil, pia VAT 18% ni 72mil, ambayo unaweza ilipa ndani ya mwaka mmoja kidogo kidogo.
Unalipa kodi huku trucks zipo kazini.