Usafiri wa Train raha tupu!

Usafiri wa Train raha tupu!

umedandia nini, maana wenzako kibao wanaachwa njiani na ticket ni kidogo!

mimi pia nimesafiri nalo jioni ya leo. Watu wengi wamebaki kamata lakini vituo vingine vyote limesimama na watu wamepanda. Nakubaliana na wewe kwamba ticketing system bado haijawa nzuri na inawabidi wavute kamba
 
Leo kwa mara ya kwanza nimepanda City train na kwa sasa niko nyumbani nimepumzika na familia yangu mara baada ya kumaliza kazi saa 9:30, kweli usafiri wa Train ni raha kwani ingekuwa dala dala ningekuwa bado na sota kwenye foleni. Hongera sana Dr Mwakyembe kwa kusimamia mawazo na maamzi yako.
hakika ni fanikio na kila fanikio huzaa changamoto, je ndugu zetu walemavu wameandaliwa mazingira mazuri kwa ajili ya kufaidi huduma hii mfano vituo vya kupandia au ngazi mtelezo?
hongera mwakyembe umetenda kama kiongozi endelea kupunguza changamoto zilizopo!
2015, cdm wataboresha zaidi kwa kurefusha reli hadi bagamoyo na kuanzisha treni za umeme na ziendazo kwa kasi hadi kgm! "inawezekana kila mmoja akitimiza wajibu wake" mwl nyerere
 
Hebu Mkuu niambie kuna air conditioner humo? Maana kama hakuna watu wengi wenye magari binafsi hawatapanda na hivyo foleni na magari barabarani hazitapungua!
 
Leo kwa mara ya kwanza nimepanda City train na kwa sasa niko nyumbani nimepumzika na familia yangu mara baada ya kumaliza kazi saa 9:30, kweli usafiri wa Train ni raha kwani ingekuwa dala dala ningekuwa bado na sota kwenye foleni. Hongera sana Dr Mwakyembe kwa kusimamia mawazo na maamzi yako.
Unapojenga hoja humu inapendeza tuone kama imetoka kichwani na si machoni, mdomoni, puani, ngozini au ulimini maana hiyo tu ni milango ya fahamu bali upelekee ubongo kwanza ili utafakari na kama ungefanya hivyo basi ungeposit posit yako ikiwa imezingatia yafuatayo:
Moja: Usafiri huo umepunguza foleni Dar?
Mbili: Unaishi wapi mpaka uwahi kufika mapema? Kibaha, Mbezi.......... Tandale??????
Tatu: Ulishuka wapi na baada ya hapo uliendaje nyumbani?

Yote tisa, ni kwanini kina Mwakyembe wameshindwa kusuruhisha au kumaliza kabisa tatizao la kuchelewesha mizigo bandarini?????
Je, upandaji holela wa mafuta hasa petrol nani anahusika??????

Sasa wewe ni sawa na teja anayefurahia kupata elfu 5 ya kununua unga baada ya kuuza chain ya dhahabu ya mama yake ya thamani ya milioni 2.
 
Hebu Mkuu niambie kuna air conditioner humo? Maana kama hakuna watu wengi wenye magari binafsi hawatapanda na hivyo foleni na magari barabarani hazitapungua!
Hivi zinaenda kila penye barabara? Mbona mmepotoka jamani?????
 
Hii ilikuwa miongoni mwa ahadi za papo kwa papo lol!
 
Tuacheni unafiki wangapi wanatimiza wanayoahidi Mwakyembe ana haki acheni watu wampongeze sababu zilikufa miaka mingi ila amefufua kwa usimamizi wake hata kama ni kidogo na pakubwa bado mwendo ni kidogo kidogo anapata uaminifu kwa wananchi sababu amethubutu toeni uchama wekeni utanzania



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mmmmmmmmmm faidini, wapongezeni walio wezesha kufanikisha hilo KUMBUKENI KUTUNZA MALI HIYO
 
Back
Top Bottom