Naomba kuunganishwa na madalali wa Songea mjini wanao husika kuuza nyumba na viwanja

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
3,074
6,477
Nina kieneo changu maeneo ya songea, msamala/ mkuzo kuna kibanda naitaji kukiuza kwahiyo nilikuwa naitaji anaowafahamu madalali wa mji huo wa songea aniunganishe nao zoez likifanikiwa chochote kitu nitatoa kwa ataeniunganisha na mmoja wa maadalali wa mji huo ili kufanikisha zoez langu
 
Nina kieneo changu maeneo ya songea, msamala/mkuzo kuna kibanda naitaji kukiuza kwahiyo nilikuwa naitaji anaowafahamu madalali wa mji huo wa songea aniunganishe nao zoez likifanikiwa chochote kitu nitatoa kwa ataeniunganisha na mmoja wa maadalali wa mji huo ili kufanikisha zoez langu
Wasiliana na +255752253270 yupo kona ya Soko kuu na NBC
 
Nina kieneo changu maeneo ya songea, msamala/ mkuzo kuna kibanda naitaji kukiuza kwahiyo nilikuwa naitaji anaowafahamu madalali wa mji huo wa songea aniunganishe nao zoez likifanikiwa chochote kitu nitatoa kwa ataeniunganisha na mmoja wa maadalali wa mji huo ili kufanikisha zoez langu
Unauza bei gani?
 
Kibanda Una maanisha nini? Eneo Lina ukubwa gani? Limepimwa? Lina hati?

Mbona unaleta taarifa nusunusu
ndio mana nimemtafuta dalali sijaweka tangazo mana wateja wa mitandaon wasumbufu so uhitaj wangu dalali sio mteja so nishampata
 
Back
Top Bottom