Usafiri wa Paroko

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092

Namna bora zaidi ya kubana matumizi sio kuishi maisha ya kifahari wakati waumini ni maskini
 
Paroko wa bongo lazima awe na 4x4 blaza, sasa hicho kidude kitaweza shughuli ya maeneo kama Goba?
 
View attachment 188742
Namna bora zaidi ya kubana matumizi sio kuishi maisha ya kifahari wakati waumini ni maskini
Namfahamu.Alikuwa paroko wa parokia ya Bomang'ombe Hai. Anaitwa Padri Albert Chevesnosky.Ni mrumania.Ukienda Hai Club siku za Jumatano utamwona. Kwa tungi huyu padiri hatari, anamiminia vodka kama maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…