Usafiri wa ndege EA bei poa soon

maybe is a promotion price. Most airlines have also cheap seats but you need to book and pay very earlier sometimes a year before.
 
There is a thin line between madness and creativity, hahahaaaaaaaaaaaa
copy and paste kwikwikwiiii
 
kama hujui maana ya internationa l kajisajili begginers english tuition. Advice given in good faith ndugu.
Acha ubishi flight from Nairobi to Eldoreti will never be an international travel. Tatizo hamuendi field mnangoja vya kuletewa mezani halafu mnajifanya kujua kuliko waliofika field, mwishowe mtasafiri Ilala Bagamoyo pia mseme ni International.
 
Waziri wa Africa Masharaki muheshimiwa Sita Kazi ipo. Need more sensitization seminars kwa watanzania on fursa zilizopo EA.

Waziri Sitta atakuwa na wakati mgumu kuhamasisha kulingana na maongeo ya watu katika hii thread. Yaonekana heri mtu aweze kufurisha ghala , kazi Kwisha, mengine yataonekana *UPUP*U*.
 
Unless I am the one who doesn't understand English, I believe Simplemind is just challenging Precision Air to respond in the same manner that KQ has responded to the proposed low cost airline Fastjet who's operations incidentally will launched from Tanzania and will fly domestic and international routes.

Someone had better define international to me.

FastJet announces Tanzania as first African Base | News | Travel Trade Gazette
 
Hii ni baada ya ujio wa kampuni ya Fast Jet iliyo na uhusiona na kampuni maarufu ya Easy Jet. Hapo hapo KQ imezindua huduma ya bei poa kati ya Nairobi na Eldoret kwa bei ya Ksh 5000 return ticket. Precision Air mpo?
Capital Business » Budget airline Fast Jet flies into EA market

Wanasema Tanzania wameshawaruhusu ... ... cha kujiuliza ni Je, wamewapa tax holiday ya miaka mingapi? Je kuna condition zozote za kubadili jina baada ya hiyo miaka ya tax holiday? Je Tanzania itafaidika kwa namna gani licha ya kupunguza msongamano kwenye barabara zake na kupunguza biashara kwa wenye mabasi Tanzania pamoja na treni? Je cost benefit analysis (CBA) ilifanywa na nani? Je serikali inaweza kuweka hiyo CBA kwa wabunge ili waiangalie?

 
Back
Top Bottom