funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,426 Reaction score 31,929 Aug 21, 2026 #1 Inaelezwa kuwa huduma ya Usafiri wa Mabasi (Mwendokasi) ya abiria kuingia na kutoka Stendi ya Magufuli imerejea na hivyo kupunguza usumbufu uliotabiriwa kwa wateja walio mbali na kituo hiko.
Inaelezwa kuwa huduma ya Usafiri wa Mabasi (Mwendokasi) ya abiria kuingia na kutoka Stendi ya Magufuli imerejea na hivyo kupunguza usumbufu uliotabiriwa kwa wateja walio mbali na kituo hiko.