PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 13,294
- 42,808
"Tayari kuna mabasi [Mwendokasi] yameagizwa, inawezekana kati ya mwezi wa pili mpaka mwezi wa tatu yataanza kufika. Kwa njia hii ya Kimara - Mjini, sekta binafsi wataleta mabasi takriban 177 yanakuja kutoa huduma kwenye eneo hilo. Lakini pia sekta binafsi wameagiza mabasi ya kutoka Mjini- Mbagala takriban mabasi 755 ambayo yatakuja kutoa huduma kwenye eneo hilo na mwezi wa tatu mambo yatakuwa sawa." - Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali
Pia soma ~ Msigwa: Ruti ya Mabasi ya Mwendokasi Mbagala - Mjini itaanza Mei, Wadau wetu walipata changamoto
Pia soma ~ Msigwa: Ruti ya Mabasi ya Mwendokasi Mbagala - Mjini itaanza Mei, Wadau wetu walipata changamoto