Kwani mengine yanayofanya safari kama hiyo yameshakuwa siku 2? Maana najua yote ilikuwa siku moja tuKuna basi linaitwa Arusha Express safari ya Mbeya Arusha ni siku moja linakimbia balaa
Juzi nimepanda new force tena, yani sijui sina bahati maana kila nikipanda nakaa na madingi tu aaargh! Af ngoma ilikuwa ya Dar-Tunduma imagine Mbeya tumeingia saa 3 usiku.Napiga picha ndani ya New force Dar kwenda Mbeya pembeni yangu nimekaa na kichuna kizuriii halafu tunafika ilula ambapo me naamini ndio nusu safari tunaambiwa basi linalala,nakuhakikishia hii mambo ya mabasi kulala itakuja kuleta mabalaa mengine ya kuvunja mahusiano ya watu au ndoa Zisizo rasmi....Nimewaza kwa sauti tu
hili wazo ndio haswaa lifanyiwe kazi, waweke two-by-two ways wakitenganisaha zinazokwenda na kurudi kwa ngema ya katikati yenye mataa kama ile njia ya ubungo-mwenge au ubungo-buguruni waone kama kuna ajali ya basi itatokea hata gari zikiwa full throttle! Nina hakika ajali zitakuwa ni za ubovu wa gari lenyewe tu aidha pancha au lifeli kupanda mlima na breki.Upuuzi, barabara ziwe njia Tatu au nne waone kama ajali zitakuepo
Uwe unafanya figisu unaitisha chart kwa konda unamulika names pale inakuwa kama bahaatisha konda akiwa mjanja unamuuliza hiki ni kichwa au kibibi ukiona miyeyusho unachagua siti nyingineJuzi nimepanda new force tena, yani sijui sina bahati maana kila nikipanda nakaa na madingi tu aaargh! Af ngoma ilikuwa ya Dar-Tunduma imagine Mbeya tumeingia saa 3 usiku.
tuliondoka Arusha saa 12 asubuhi tukafika Mbeya saa 6 usiku...mabasi mengine yanalala makambakoKwani mengine yanayofanya safari kama hiyo yameshakuwa siku 2? Maana najua yote ilikuwa siku moja tu
We angalia zile barabara za mkoloni zilizokuwa na kona nyingi wao wameziendeleza hivyo hivyo, badala ya kunyoosha hizo kona, ndio utajua tuna viongozi vilaza, badala ya kusonga mbele ss tunarudi nyuma, tutaisoma namba kwa kweli. Kama ni ajali hata safari ya DAR - arusha mbona zipo tu.Hii serikali Ni ya kipuuzi sijapata ona. Lengo la transportation Ni kufikisha abiria na mizigo on time. Sasa huu upuuzi WA Sumatra SI bora tupande punda Tu.