N ninjaa Member Joined Sep 4, 2016 Posts 8 Reaction score 1 Dec 21, 2016 #1 Za asubuhi jamani, Ningependa kuuliza usafiri pale Ubungo kwenda Mbeya sio wa shida, maana nataka nisafiri Ijumaa. Kuna tetesi mabasi yanajaa sana kwenda huko ni kweli? Mwenye taarifa labda aliyeenda kukata tiketi hivi karibuni anijuze.
Za asubuhi jamani, Ningependa kuuliza usafiri pale Ubungo kwenda Mbeya sio wa shida, maana nataka nisafiri Ijumaa. Kuna tetesi mabasi yanajaa sana kwenda huko ni kweli? Mwenye taarifa labda aliyeenda kukata tiketi hivi karibuni anijuze.
Ndebile JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 8,246 Reaction score 12,796 Dec 21, 2016 #2 Waulize SUMATRA
kuduman201036 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 4,058 Reaction score 2,184 Dec 21, 2016 #3 >>. CHUKUA daladala UTAFIKA fasta >>
TADPOLE JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 3,344 Reaction score 11,027 Dec 21, 2016 #4 tuma pesa kwa namba hii 0715653610 ukija utaikuta tiketi yako getini pale niamini mkuu!