Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,242
- 21,034
- Thread starter
- #21
Ahsante mkuu ngoja niwasiliane naoChat na shabiby kwa namba hii 0754 953806
Ahsante mkuu ngoja niwasiliane naoChat na shabiby kwa namba hii 0754 953806
Ahsante sana chief.25000 mpaka 20000 gari zipo tu mpaka saa 5.
Nimekupata vizur mkuuMbezi usumbufu, mi huwa napandia urafiki.
Nauli ni 25k kwa basi, ukidandia noah pale kibo watakuambia 30k ukikaza 25k hiyo hiyo unaenda hata sasa hivi saa moja usiku unapata.