Usafiri wa boat toka Mbezi beach to Masaki

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Wakuu hili tangazo nimekutana nalo pale Jangwani see breeze (Mbezi Beach) kuwa kuana huduma ya speed boat from there to Slipway (Masaki) sasa kwanini tusitumie the same idea tukaanzisha speed boat kubwa kama zile za kwenda Z'bar zikawa zinachukua abiria wanaoishi Mbezi beach, kunduchi beach, Tegeta, Boko, Bunju, Bahari beach n.k na kuwapeleka Slipway Masaki halafu from there wanakamata city basi to town?

Ningependa kutoa wito kwa mnaogombea Ubunge jimbo la Kawe hasa mamaa Halima Mdee hebu jaribu ku-capitalize hii idea uondoe kero ya foleni za magari kwa wakazi wa maeneo hayo...

Just an idea au mnasemaje wakuuu..

attachment.php
 
Attachments

  • BoattripsMbezi.jpg
    BoattripsMbezi.jpg
    139.1 KB · Views: 121
...Sio tu kuwapeleka Slipway. Inawezekana kabisa kuwa na usafiri wa boti kutoka Mbezi Beach, Kunduchi, Tegeta na kwingineko kuja City Centre na kushukia pale Ferry ama pale Forodhani na kupunguza mno foleni za daladala barabarabi, lakini nani wa kuanza???
 
hii idea ilifloa sana about seven years ago... lakini kama kawa sisi huishia kuwa na idea tu, tunasubiri msaada wa watu wa marekani ndio tutekeleze
 
..
Sijui huwa ni kutokujiamini kwa wafanyabiashara wetu?? Shuhudia sasa mmoja aanze halafu ionekane kumbe ni biashara yenye faida. Kila mtu atataka kuweka kiboat chake kuhudumia wasafiri na mwishowe foleni za magari barabarani zitahamia kwenye maboti baharini!! LOL
 
Wakuu hili tangazo nimekutana nalo pale Jangwani see breeze (Mbezi Beach) kuwa kuana huduma ya speed boat from there to Slipway (Masaki) sasa kwanini tusitumie the same idea tukaanzisha speed boat kubwa kama zile za kwenda Z'bar zikawa zinachukua abiria wanaoishi Mbezi beach, kunduchi beach, Tegeta, Boko, Bunju, Bahari beach n.k na kuwapeleka Slipway Masaki halafu from there wanakamata city basi to town?

Ningependa kutoa wito kwa mnaogombea Ubunge jimbo la Kawe hasa mamaa Halima Mdee hebu jaribu ku-capitalize hii idea uondoe kero ya foleni za magari kwa wakazi wa maeneo hayo...

Just an idea au mnasemaje wakuuu..

attachment.php
ahh bajaji tu zatosha, mbona hata fulani ameahidi, na ameahidi kutoa ahadi zaidi
 
Back
Top Bottom